![]() |
|||
Kuhusu chama cha SVETANChama cha SVETAN kilianzichwa mwaka 1968. SVETAN kina malengo matatu:
Tunafanya:Gazeti la ”Habari” linatolewa mara nne kwa mwaka. Tunaandaa semina na kuhusu maswala mbalimbalai, kwa mfano pambano ya ukimwi, maendeleo ya kiuchumi, usawa wa kijinsia. Tunasaidia Bagamoyo Sculpture School na Tumaini Children´s Centre, Bukoba. Tunakusanya fedha kwa ajiri ya walioathirika wakati wa mafaa. Tunatoa ushauri kwa wanachuo na wanafunzi wanaoandika reports kuhusu Tanzania. |